Yahoo Web Search

Search results

  1. Mar 13, 2023 · Tanzania Religious figures Tanganyika 85% Pagan/ Non Religious/ Atheist 7.4% Christian 5.2% Islam 1.5% Hinduism 0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions Zanzibar 84% Islam 9% Christianity 5% Hinduism 2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist

  2. Apr 20, 2013 · Sep 3, 2013. 28. 7. Mar 6, 2014. #6. Karma ni matokeo ya matendo ya mtu aliyokuwa anayafanya...yanaweza kuwa mazuri au mabaya...kama vile malipo ya uliyokuwa unafanya...kama ulifanya mambo mabaya, utalipwa ubaya na kinyume chake.

  3. Sep 11, 2024 · Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sio wengi wanajua kitu kinachoitwa karma ni nini, kwa sababu karma ni neno la lugha ya kihindi (Hindu) na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu karma wakati nikiishi jiji la New Delhi nchini India.

  4. Apr 29, 2023 · Apr 9, 2021. 2,527. 3,638. Sep 27, 2023. #10. Mtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa. Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.

  5. Jun 11, 2011 · Ni msemo unaoaminika hasa katika imani za Mashariki kama vile Hinduism na Buddhism. Kila mwanadamu ana Karma yake, Karma inapaswa kuwa safi kwa kutenda mema, kuwaza mema na kisema mema. Kila hali imetokana na Karma fulani, inaweza ikawa sio yako au ikawa ya mwenzio ambayo ikakuadhiri na wewe kutokana na muunganiko wa Karma zenu.

  6. Jan 3, 2017 · Wakati nikiishi nchini India kwa kipindi fulani, nilitumia fursa hiyo kujifunza kidogo imani za dini za wenzetu, hivyo nikajifunza kidogo Hinduism, na Buddhism, hizi dini mbili ukiangalia zimeanza lini ukizilinganisha na Ukristu na Uislamu ulianza lini, ndipo utagundua ni kama kumlinganisha Tembo na sisimizi, Ukristu na Uislamu ni dini za jana ...

  7. Nov 10, 2013 · Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu...

  8. Dec 26, 2012 · Kwa mujibu wa Freemasonry, Hinduism etc nyoka ni kiumbe mtakatifu. Hata katika dini za kiyahudi Nyoka ni muungu. Soma vizuri habari ya Mussa na Wana wa Israel pale Ialdabaoth mwenyewe alipo waambia Wana wa Israel wachonge sanamu ya nyoka na kuisujudu na walipo fanya hivyo wakapona.

  9. Feb 4, 2009 · 1. Maumbile ya Ubongo na tabia za kurithi. Maumbile ya ubongo wa binadamu mfano kunapokuwa na shida au hitilafu hasa mishipa inayounganisha sehemu za ubongo. Yaani eneo la ubongo linaloitwa “Amygdale” linalohusika na hisia ikiwemo hasira. Na sehemu ya ubongo wa mbele yaani katika paji la uso (Front Brain).

  10. Jul 17, 2023 · 6,684. 14,001. Dec 2, 2023. #1. Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

  1. People also search for