Yahoo Web Search

Search results

  1. 4 days ago · Fei Toto ambaye alitua Azam FC akitokea Yanga, alisaini mkataba wa miaka mitatu na tayari ameutumikia kwa msimu mmoja akiisaidia timu hiyo kumaliza katika nafasi ya pili na kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Chanzo cha kuaminika kimeliambia Mwanaspoti kuwa ni kweli vilabu hivyo viwili vimepeleka ofa mezani ...

  2. 3 days ago · SIMBA na Mamelodi Sundowns zimeulizia uwezekano wa kumsainisha mkataba staa wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ lakini zikaambiwa hauzwi. Fei Toto ambaye alitua Azam FC akitokea Yanga, alisaini mkataba wa miaka mitatu na tayari ameutumikia kwa msimu mmoja akiisaidia timu hiyo kumaliza katika nafasi ya pili na kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

  3. 4 days ago · By Khatimu Naheka. Reporter. Mwananchi Communications Limited. Muktasari: Chama amesaini mkataba wa miaka miwili na Yanga baada ya mkataba wake kumalizika na Simba akigoma kuongeza mwingine sababu kubwa ikitajwa kuwa ni masilahi pamoja na kejeli za hapa na pale.

  4. 4 days ago · Mo Amtaka Feisal Toto Simba Kwa Udi na Uvumba. Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa. Klabu ya Simba imefungua mazungumzo na Azam Fc kwa ajili ya kumtaka kiungo mshambuliaji Feisal Salum 'Fei Toto', imefahamika. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba, imethibitisha kuwa tayari mabosi wa Simba na Azam Fc wamekutana mara mbili na kuna ...

  5. 21 hours ago · Fuatilia KIJIWENI24 TV 📺 kupitia mitandao yetu ya kijamii📍 Facebook : https://www.facebook.com/24Kijiweni📍 Instagram : https://www.instagram.com/kijiweni_...

  6. 5 days ago · KLABU ya Azam imethibitisha kuwa imefikia makubaliano na MC Alger ya Algeria kuwauzia mchezaji wao, Kipre Junior, raia wa Ivory Coast kwa kiasi cha Dola 300,000 za Kimarekani sawa na Sh. milioni 824 za Tanzania. Klabu hiyo imesema hayo baada ya kuzuka tetesi hivi karibuni kuwa mchezaji huyo anayecheza nafasi ya winga zote mbili na kiungo ...

  7. 3 days ago · Chama alitambulishwa rasmi na Yanga Julai Mosi 2024 na kuzua taharuki baada ya kupita siku nzima bila mchezaji mwenyewe kubadili utambulisho wake katika akaunti yake ya Instagram uliokuwa unasomeka ni mchezaji wa Simba SC kabla ya leo kuiweka Yanga SC.